Nay wa Miego akiburudisha umati wa watu waliojitokeza kwa wingi Darlive!
DAR Live usiku wa
kuamkia leo ilitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia
onyesho la pamoja kati ya wanamuziki wawili nyota wa kizazi kipya, Nasibu Abdul
'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego ambao walikuwa wakizindua video ya wimbo wao
wa 'Muziki Gani'.
Wanamuziki hao kwa pamoja walitoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.
Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki.
Ney wa Mitego akiwarusha wapenzi wa burudani.
Nyomi iliyoitikia shoo hiyo. Mnyamwezi huyo!!Kitu na box full kimyaaa!!!Nipe na mimi Hi jamani Diamond...Jamaa nuksi huyu...Raha utamu hapaWasafiiii...Diamond akiachia vitu vyake jukwaani huku mashabiki wakiwa wanataka kumvuta chini..Jukwaa likitetemeka...........Hii balaa jukwaani jamani...Nay na Diamond wakitupia maneno ya kwenye Video Muziki gani jukwaani live...Jamani nani zaidi??? Hip Hop na mbana pua!!!
Diamond na Ney wakiwapagawisha mashabiki.
Ney wa Mitego akisema na wapenzi wake.
Diamond Platnumz akionyesha umahiri wake stejini.
Diamond akifanya makamuzi sambamba na kundi lake.
ilikuwa show moja matata sana hip hop v bongo flavaM'bana pua na mwana hiphop wakipozi kabla ya show....
picha zote kwa hisani ya LENZI YA MICHEZO.