Angella Kairuki akiwa na watoto wake Kemy pamoja na Esta muda mfupi baada ya kukabidhi baiskeli hizo. |
Mama kairuki akiongea na mtoto Halima ambaye naye pia alipata baiskeli hiyo. |
Wazazi wakiwa na watoto wao baada ya kukabidhiwa baiskeli zao |
.......... |
............... |
mtoto mmojawapo wa Mama Kairuki akimuendesha mtoto mmoja wapo aliyekabidhiwa baikeli |
Mama Kairuki akiwa na familia yake pamoja na mtoto Halima |
Mama Kairuki akisisitiza jambo |
Mama Kairukia akimuendesha mtoto Halima |
Mheshimiwa akikabidhi baadhi ya zawadi zingine kwa mzazi kwa niaba ya watoto |
Mama yake na Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa SHIVYAWATA akishukuru kwa niaba ya uongozi mzima wa chama hicho |
Mtoto akifurahia zawadi zake |