.
.
.
Hawa ni miongoni mwa waliokua wanasubiri kuupokea mwili, kwa mbali anaonekana Profesa Jay.
.
Mchekeshaji
Masanja Mkandamizaji na Mwimbaji Linex ni miogoni mwa wasanii
waliohudhuria, wengine ni pamoja na Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na
King Kikii.
.
Mwana Fa na Profesa J.
King Kikii Mwana Fa na Profesa J.
Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki.
Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki.
Zola D kwa mbali.
Hili gazeti walilokua wanasoma kulikua na habari kuhusu kifo cha Sajuki.
.
.
Mwili ulipokua unaingizwa.
picha za juu kwa hisani ya millardayo.com
|
Rais Jakaya Kkwete akiendelea na shughuli za mazishi (picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com) |
|
mwili wa marehemu SAJUKI ukiingizwa eneo la makaburi(picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com) |
Rai