EDWARD LOWASSA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 51 ZA MUUUNGANO MJINI DUBAI
Mh Edward Lowassa |
Mh Edward Lowassa amehudhuria sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hii leo mjini Dubai , sherehe hio imefanyika katika hotel ya Shangirla Dubai. sherehe hio iliyoandaliwa na jumuiya ya wa Tanzania wanaoishi katika nchi za falme za kiarabu......safi sana bigdady LOWASSA..
No comments:
Post a Comment