TAIFA LIMETIKISIKA NA AJALI YA MBAYA MKOANI MBEYA,TIZAMA HAPA
Ajali
ya Daladala imeua watu 19 eneo maarufu kama Uwanja wa ndege, Kiwila,
Mkoani Mbeya baada ya daladala hiyo kutumbukia kwenye Mto.
Habari toka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta.
Ajali
hii imetokea baada ya Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na
Kyela kugoma hivyo baadhi ya daladala za mjini kuamua kubeba abiria.
SOURCE Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment