Wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, wakimkaribisha, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
aliporipoto kwa mara ya kwanza kwenye ofisi hiyo, leo, baada ya
kuteuliwa juzi mjini Dodoma..
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
by Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment