Hatimaye Daktari kutoka hospitali ambayo Goldie Harvey alipelekwa
Reddington Hospital huko Nigeria,amethibitisha kutokea kwa kifo cha
msanii na aliyewahi kushiriki BBA kuwa ni kweli amefariki dunia huko
Nigeria saa 5 usiku jana.Inasemakana kuwa ugonjwa uliosababisha kifo cha
Goldie huyo ni 'pulmonary embolism'.
'Pulmonary Embolism' ni Ugonjwa wa Kuganda kwa Damu ,ambao husababisha
mshipa mkubwa unaosafirisha damu na hewa kwenda kwenye mapafu
kuziba.Husababisha mtu kufariki ghalfa.
'Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi'
ameen.....
No comments:
Post a Comment