Picha
tofauti za Padri wa Kanisa Katoliki, Padri Evarist Mushi zikimuonesha
enzi za uhai wake, Padri Mushi ambaye ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa
risasi wakati akiingia Kanisani kwa ajili ya Ibada ya Jumapili katika
eneo la Mtoni Mjini Magharibi Zanzibar.
Hapa ni katika eneo la tukio la mauaji ya Padri Evarist Mushi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud
walipotembelea eneo la tukio leo.
Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
Waziri
wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari
mjini Zanzibar leo kufuatia mauaji ya Padri wea Kanisa katoliki, Padri
evarist Mushi. (Picha na Adrew Chale, Zanzibar) kwa hisani ya Bashir Nkoromo.
No comments:
Post a Comment