Friday, June 5, 2015

Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma

Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama hicho, alikuwa Mzee Pankrans Ndejembi, ambaye alimdhamini. Kulia ni mkewe mama Regina.
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama hicho, alikuwa Mzee Pankrans Ndejembi, ambaye alimdhamini.
Lowassa, akiwapungia wanachama wa CCM na wafuasi wake kadhaa waliofika kutaka kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini.
Akiongoe na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu.
Lowassa, akisikilzia maswali ya waandishi wa habari.
Lowassa akipungia wafuasi kadhaa wa CCM na wanachama wa chama hicho, waliofika kumdhamini
Mwenyekiti wa CCM, Shinyanga, Hamisi Mngeja, akizungumza wakati Lowassa, alipofika ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini kusaka wadhamini
Lowassa, na mama Regina wakishuhudia wakati Mzee Pankrans Ndejembi, alipokuwa akijaza fomu ya kumdhamini mtangaza nia huyo wa CCM anayeomba kuteuliwa na CCM kuwania urais mwaka huu 2015.

Mama Regina Lowassa, mke wa Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimia wanachama na wafuasi wa CCM na wananchi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma.
Wanachama wa CCM, wakishangilia wakati Mtangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho, Edward Lowassa, alkipofika kuomba wadhamini, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma
Lowassa akisalimiana na mwanachama huyu wa CCM, aliyefika kumdhamini
Mzee Pankrans Ndejembi, (Kulia), akizungumza kwenye mkutano huo wa Lowassa kjuomba wadhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma.
Lowassa, akiwa na mkewe mama Regina, wakati akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya CCM mjini Dodoma mara baada ya kuchukua fomu za kuomba kuwan ia nafasi hiyo
Lowassa na mama Regina, wakiwa ofisi za CCM wilaya ya Dodoma kuomba wadhamini katika safari yake ya matumaini.
Lowassa  akiteta jambo na binti, huyu aliyeongozana na mama yake ambaye alifika kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma. Kulia ni mkewe mama Regina.

No comments:

Post a Comment