Tuesday, December 15, 2015

NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA KATIKA KITUO FOREPLAN CLINIC KINACHOMILIKIWA NA DK. MWAKA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwasili katika kituo cha Foreplan Clinic kinachotoa tiba mbadala kilichopo Ilala Bungoni,  jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho leo jumatatu kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na tiba Mbadala Dk.Paul Mhame kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa jamii.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akipokelewa na mmoja wa wauguzi wa kituo hicho ambapo jina lake halikupatikana kwa haraka baada ya mkurugenzi wa kituo hicho Dk. Mwaka Juma Mwaka kutokuwepo kwenye kituo chake cha Foreplan Clinic kilichopo Ilala Bungoni,  jijini Dar es Salaam 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wananchi waliofika kupata matibabu katika kituo cha Foreplan Clinic kuhusu huduma zitolewazo katika kituo hicho kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka.
Masaidizi wa Dk. Mwaka, Bi Teddy L. Mbuya akimtolea ufafanuzi Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala kuhusu huduma zitolewazo katika kituo cha Foreplan Clinic mara baada ya kuanza kukagua kituo hicho kinachotoa Tiba 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akikikagua kifaa kinachotumika kufanyia vipimo kwenye kituo cha Foreplan Clinic wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho leo jioni siku ya jumatatu
Hiki ndicho kifaa kinachotumika kupimia wagonjwa kwenye maabara ya kituo hicho cha Tiba Mnadala
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwauliza maswali wasaizizi wa kituo hicho wakiongozwa na  Bi Teddy L. Mbuya mara baada ya kukuta hari ya sintofahamu katika kituo hicho
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akikagua moja ya dawa zinazotolewa kwa wangonjwa wanaokuja kutibiwa kwatika kituohicho cha tiba Mbadala
Bi. Rozaria Antoni ambaye ni muhudumu wa dawa akikaa kimya baada ya kuulizwa maswali na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala na kukosa la kujibu.
Hizi ni dawa za asili zinazouzwa katika kituo hicho cha afya
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akimpa maelekezo Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na mbadala Dk.Paul Mhame kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa jamii.



Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala leo majira ya jioni amefanyaziara ya kushtukiza  katika kituo kinachotoa tiba mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka  kilichopo Ilala Bungoni na kujionea hali halisi ya kituo hicho. Mara baada ya kufika alianza kufanya ukaguzi kuanzia sehemu ya Mapokezi mpaka kwenye vyumba vya matabibu lakini katika vyumba vyote hakuna daktari aliyekuwa anatoa huduma.
Akizungumza na wagonjwa waliokuwa wakisubilia tiba alisema kuna waliofika katika kituo hicho ili kutibiwa lakini kituo hicho hakina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa hao. Na kuwataka wagonjwa hao waende kwenye hospitali ili wapate matibabu yanayoendana na magonjwa wanayoumwa.
Akizungumza msaidizi wa Dk. Mwaka, Bi Teddy L. Mbuya alisema yeye hawezi kusema kuhusu kituo hicho maana yeye sio msemaji mkuu bali alimwomba Naibu waziri kufanya ukaguzi katika kituo hicho pamoja na kuwaliza maswali wahusika mbalimbali wa vitengo vya ktuo hicho.
Baada ya ukaguzi wa kituo hicho Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amemwagiza Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na mbadala Dk.Paul Mhame ndani ya wiki moja kufanya ukaguzi kwa  kituo cha Dk. Mwaka na aletewe taarifa iliyokamilika kuhusu taaruma yeke pamoja na washirika wake na pia dawa anazozitumia kama ni rafiki kwa wananchi wanaotumia dwa hizo pamoja na kufanya ukaguzi wa vituo vyote vinavyotoa tiba mbadala na tiba asilia kama Dk. Ndodi, Dk. Rahabu nk. ili kuwabaini wanaowalaghai wananchi. 
Pia amesema Dk Mwaka Juma Mwaka amekuwa akijitangaza kupitia vyombo mbalimbali hapa nchini ambavyo ni kosa la kutangaza kama unafanya kazi za tiba tabibu. Alisema madaktari wana miiko na katika miiko hiyo ambayo inatumika na mojawapo ikiwa ni kutojitangaza. Naibu waziri aliendelea kusema kuwa Dk. Mwaka amekuwa akijiita Dokta na amekuwa akichambua mwili wa binadamu kama vile ameusomea udakitari wakati sheria ya tiba asilia na tiba mbadala hairuhusu watu wa tibaAsilia na Tiba Mbadala  kutumia maneno  ya tiba ya kisasa.
Pia Naibu Waziri amamtaka Dk. Mwaka Juma Mwaka kufika wizarani kesho saa mbili asubuhi akiwa na nyaraka zake zote zinazohusu utoaji wa huduma ya Tiba Mbadala kwani amekuwa akijiita majina ya tiba za kisasa na pia kutibu kwa njia ya kisasa badala ya kutibu kwa njia ya Asilia au Tabibu.

Monday, December 14, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 12,2015
1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hussen Ali Mwinyi kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hussen Ali Mwinyi kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
wwwwswRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Williamu Vangimembe Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3028
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa katiba na sheria  ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3036Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. George Boniface Taguvala simbachawene kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)  Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3048
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Jenista Joakim Muhagama  kuwa Waziri wa ofisi ya waziri mkuu ( Sera Bunge,Kazi,VIjana,Ajira na wenye Ulemavu)  Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015

DSC_3061

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3070
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Charles Muhangwa Kitwanga  kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi  ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3081
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Ummy  Ally Mwalimu  kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3090
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu January Yusuph Makamba kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3098
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Angellah Jasmine Kairuki  kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3110
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Mwigulu Lameck Nchemba  kuwa Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3117
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Charles John Paul Mwijage  kuwa Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3129
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga   kuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3139
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Nape Mosese Nnauye  kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na michezo Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3145
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha . Eng. Stella Martin Manyanya kuwa Naibu Waziri wa sayansi ,Teknolojia na mafunzo ya Ufundi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3153
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Angeline Syvester Mabula Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi   Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3163
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Anthony Peter Mavunde Naibu waziri Ofisi ya waziri Mkuu (kazi vijana na ajira)   Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3171
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Luhaga Joelson mpina kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3180
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Anastanzia James Wambura kuwa Naibu Waziri Habari, Utamaduni, sanaa na michezoIkulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. HAMIS Andrea Kigwangala  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3195
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Ramo Matala Makani kuwa Naibu Waziri Maliasili na utalii Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3201
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Selemani Said Jafo kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3209
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Edward Amandus Ngonyani kuwa Naibu Waziri  wa ujenzi , uchukuzi na mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3221
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Merdard Matogolo Kalemani  kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3231
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Isack Aloyce Kamwele  kuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3250
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Abdallah Saleh Possi kuwa Naibu Waziri Ofisi ya waziri mkuu (wenye ulemavu) Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3262
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Susan Kolimba kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa  Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3268
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Kachwamba kijaji Ashatu  kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Tate William Ole- Nasha  kuwa Naibu Waziri kilimo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015
DSC_3227
Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakishuhudia uapisho wa mawaziri na manaibu waziri

Thursday, December 10, 2015

Rais Magufuli atangaza baraza jipya la mawaziri


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana kwa furaha na wanahabari mara baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na wanahabari waliofika kumsikiliza wakati akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa walioketi vitini ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akirejea ofisini baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue PICHA NA IKULU
BARAZA LA MAWAZIRI


Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri - George Simbachakene  na Angella Kairuki
Naibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.

Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina

Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri - Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri - Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri - William Ole Nasha

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani

Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri - Ashantu Kizachi

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri - Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri - Medalled Karemaligo.

Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri - Harrison Mwakyembe

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri - Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri - Dk. Hussein Mwinyi

Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri - Charles Kitwanga.

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri - William Lukuvi
Naibu Waziri - Angelina Mabula

Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.

Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya

Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri - Ummy Mwalim
Naibu Waziri –  Dkt. Hamis Kigwangala

Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri - Nape Nnauye
Naibu Waziri - Anastasia Wambura.

Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof. Makame Mbarawa
Naibu  Waziri– Inj. Isack Kamwela