Thursday, December 10, 2015

RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AFANYA USAFI KATIKA ENEO LA UFUKWE WA FERRY JIJINI DAR ES SALAAM KAMA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU DESEMBA 9,2015

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mama Janeth Magufuli wakielekea eneo la ufukwe wa Ferry kufanya usafi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2015.
2

3

4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika  eneo la ferry jijini Dar es Salaam 2015. 6

6-1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiweka taka taka kwenye kasha la kuwekea taka wakati akifanya zoezi la kufanya usafi katika eneo la ufukwe wa Ferry jijini Dar es Salaam. 
7

7-1

8  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakifanya usafi katika eneo la ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam
9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiweka taka taka kwenye kasha la kuwekea taka wakati akifanya zoezi la kufanya usafi katika eneo la ufukwe wa Ferry jijini Dar es Salaam. 
9-1 
10


11 
Usafi ukiendelea HAPA NI KAZI TU#  
12 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wavuvi wa ferry huku akiwa ndani ya Mtumbwi. Rais Magufuli alisikiliza kero zao na kuahidi kuzitatua ndani ya muda mfupi.  
13Rais Magufuli akifanya usafi pamoja na wavuvi wa eneo la ferry waliojitokeza kuungamkono zoezi hilo. Rais Magufuli amewataka Watanzania kuwa na Utamaduni wa kufanya Usafi kila wakati ili kuweka mazingira katika hali nzuri.

No comments:

Post a Comment