Friday, December 4, 2015

Gari la Mwananchi lapata ajali mbaya Kitonga



ajali
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Gari iliyokuwa imebeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani Mbeya imepata ajali eneo la Kitonga leo alfajiri na inasadikiwa watu wote waliokuwemo ndani ya gari hiyo wamefariki.

No comments:

Post a Comment