Friday, October 5, 2012

Barack Obama na Michelle Obama ndani ya miaka 20 ya ndoa yao....cheki mapicha yao walivyojiachia.....



Hapana ni Oktoba 3 1992... walifunga ndoa yao ambayo ilihudhuriwa na watu 200 katika sherehe hiyo Michelle Obama alisikika akisema 'Nimefurahi kuolewa na mwanaume anayenipenda na niliyempenda".



Novemba 2, 2004,Wakiwa na binti zao Sasha na Malia
March 20, 2009...'kam'bana....
  May 25 2011, 'wanafanana eeeh.....'

Julai 16 2012.....hapa wanaonyesha jinsi gani wanavyopendana.....

No comments:

Post a Comment