RAIS OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE YA KULITEMBELE BARA LA AFRIKA; AAGWA NCHINI TANZANIA NA RAIS JAKAYA KIKWETE
Rais Obama na Mke wake wakikwea ndege ya Air Force One tayari kwa kuondoka.
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwapungia mikono wageni wao kama ishara ya kuwaaga.
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto), Naibu waziri wa Kilimo Mhe Bakari
Malima (kushoto), Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick na
Balozi wa Marekani Alfonso Lenhardt wakipunga mkono kumwaga Rais Obama.
No comments:
Post a Comment