MAZISHI YA MAMA YAKE na PROF JAY
Mwanamuziki Joseph Haule 'Profesa Jay' akiweka shada la maua katika kaburi ya marehemu mama yake, Bi. Rosemary E. Majanjara.
Mama
mzazi wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule
ama Prof. Jay,Mama Rosemary Majanjara enzi za uhai wake.
Mwili wa marehemu ukiingizwa ndani
Maombezi yakiendelea hapo nyumbani kwa Prof. jay
Prof. Jay akiongea neno na Mh. John Myika alipokuwa kwenye msibani
Mzee Haule, Mme wa Marehemu akiwa kwenye hali ya huzuni
Mtoto mkubwa ambaye ndiye dada yake na Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama yake
Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama yake
Mme wa marehemu akiuaga mwili wa marehemu
Lady Jaydee akiuaga mwili wa marehemu
Erick Shigongo akiuaga mwili wa marehemu
Mjukuu wa marehemu akiuaga mwili wa bibi yake
Baadhi ya watu waliofika kuaga mwili wa marehemu Rosemary mama yake na Prof. Jay
Mwili wa mama ukiwekwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa Kinondoni kwaajili ya mazishi
Mume
wa Marehemu,Mzee Haule akiweka Shada la Maua juu ya Kaburi la Marehemu
Mke wake aliezikwa leo kwenye Makaburi ya Kinondoni,Jijini Dar es
Salaam.
Mtoto Mkubwa wa Marehemu,Akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule a.k.a Profesa J akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mtoto wa Mwisho wa Marehemu,Alex Haule a.k.a Simple X akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Mama yake.
Simple X akisaidiwa baada ya kukosa nguvu wakati akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mrs Mwamunyange na Kaka yake wakielekea kuweka shada la Maua kaburini.
Mwanamuziki Lady Jay Dee akiweka Shada la Maua.
Watoto waliolelewa na Mama Rosemary wakiwa ni wenye huzuni kubwa baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yao.
Profesa J akimfariji dada yake.
picha kwa hisani ya blog ya wananchi
No comments:
Post a Comment