Hii
inaitwa Ball Control ya uhakika kutoka kwa Rais wa Marekani Barack
Obama,alipokuwa katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo
jijini Dar es Salaam Tanzania.
Hebu
Nipasie na mimi uone......Rais wa Marekani Barack Obama akicheza mpira
maalum ambao kadri unavyochezwa ndivyo unavyo zalisha umeme hivyo kuweza
kutumika kuchargi vitu mbalimbali na kuwasha taa.
No comments:
Post a Comment