Wednesday, April 10, 2013

Duh hili pozi la Partck Mwilongo na Carren Cyprian ni full balaa....

Waandishi waandamizi Tanzania wenye uwezo wa kusimama sehemu zote, michezo, burudani, siasa na biashara wakiwa wamepozi walipokutwa na kamera ya Handeni Kwetu mwishoni mwa wiki maeneo ya Leaders Club.
Kushoto anaitwa Patrick Mwilongo mwenye maskani yake mjini Bagamoyo akiiwakilisha New Habari 2006 kwa magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, wakati Carren Cyprian anayeandikia Gazeti la Nipashe. Hili lilikuwa pozi la aina yake.... Duh..haaaaaaaa......

from Handeni Kwetu

No comments:

Post a Comment