Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) akiongea wakati
akitangaza kufanyika kwa Matamasha ya Airtel Yatosha katika mikoa
mbalimbali ya Tanzania yenye lengo la kutoa burudani sambamba na
kuelimisha Jamii na wateja wake kuhusu huduma za Airtel ikiwemo
kuitambulisha huduma mpya ya Airtel Yatosha. Kulia Meneja Mauzo Airtel
Kanda ya Pwani Raphael Daudi na kushoto ni Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya na kiongozi
wa Kundi la Tip Top connection atambulikae kwa jina la Madee
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya na kiongozi
wa Kundi la Tip Top connection,atambulikae kwa jina la Madee moja ya kikundi kitakachotumbuiza
katika Matamasha ya Airtel Yatosha akiongea wakati wa uzinduzi wa
Matamasha hayo leo kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Airtel Jijini Dar.Matamasha
haya yatawashirikisha wasanii wengine wakiwemo Fid Q, Juma Nature,
Ney wa Mitego na Stamina.Katikati ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando na Kulia Meneja Mauzo Airtel Kanda ya Pwani
,Raphael Daudi.
No comments:
Post a Comment