Saa saba na nusu.
Kesi ikiendelea.
.
.
.
.
.
Akishushwa
kuingia kwenye karandinga la magereza wakati huo Wema Sepetu, Dr Cheni,
Zamaradi Mketema, Petit Man na wengine walikimbia kwenye kuchukua pesa
za faini benki.
Producer Lamar alikuepo.
.
Mfuko wa pesa zenyewe baada ya kwenda kuchukuliwa benki.
Lulu alikuepo pia.
.
Kajala akielekea kwenye garila magereza tayari kwa kurudishwa.
.
Watu wakisubiri kama Kajala ataachiwa manake wakati huu pesa zilikua zimeshapatikana.
Wema Sepetu akiongea na waandishi wa habari.
.
Kajala baada ya kuachiwa huru.
.
Kajala na mama mzazi.
.
.
.
Pamoja
na kwamba Wema ndio kalipa hela ya faini, hili gari lake pia ndio
lilitumika kumchukua Kajala Mahakamani na kumpeleka nyumbani.
No comments:
Post a Comment