Thursday, July 4, 2013

Byeeeeeeeeeee Obama....

RAIS OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE YA KULITEMBELE BARA LA AFRIKA; AAGWA NCHINI TANZANIA NA RAIS JAKAYA KIKWETE



 Rais Obama na Mke wake wakikwea ndege ya Air Force One tayari kwa kuondoka.

  Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwapungia mikono wageni wao kama ishara ya kuwaaga.
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto), Naibu waziri wa Kilimo Mhe Bakari Malima (kushoto), Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick na Balozi wa Marekani Alfonso Lenhardt wakipunga mkono kumwaga Rais Obama.

No comments:

Post a Comment