Thursday, April 4, 2013

BALOTELLI ANASEMA MAPENZI YAMEMSAIDIA KUPUNGUZA STRESS

Mario Balotelli Akiwa Na Fanny Robert Neguesh 
Anaitwa Fanny Robert Neguesh Na Kila Anapokwenda Mario Na Yeye Yupo Ni Kama Mapacha Alisema Balotelli


Balotell ambaye wengi humfahamu kwa jina la utani 'mtukutu' amekuwa akionekana mara kwa mara katika sehemu mbalimbali na mpenzi wake huyo na hivi karibuni Balottell alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa mapenzi ya kweli kutoka kwa kimwana huyo yamemsaidia kupunguza mawazo wakati anahamia AC Millan.

from Sam Misago blogs

No comments:

Post a Comment