Waandishi waandamizi Tanzania wenye uwezo wa kusimama
sehemu zote, michezo, burudani, siasa na biashara wakiwa wamepozi walipokutwa
na kamera ya Handeni Kwetu mwishoni mwa wiki maeneo ya Leaders Club.
Kushoto anaitwa Patrick Mwilongo mwenye maskani yake
mjini Bagamoyo akiiwakilisha New Habari 2006 kwa magazeti ya Mtanzania, Bingwa,
Dimba, Rai na The African, wakati Carren Cyprian anayeandikia Gazeti la Nipashe. Hili lilikuwa pozi la aina yake.... Duh..haaaaaaaa......
from Handeni Kwetu
No comments:
Post a Comment