MAMA KANUMBA AKISHUKURU WATANZANIA |
JACQULINE WOLPER NAE ALIZUNDUA MOVIE YAKE UCIKU HUU |
MGENI RASMI ALIKUWA MEYA WA KINONDONI |
marafiki kutona Ghana walikuwepo |
kulitolewa tuzo na moja wapo ilienda kwa Millard Ayo #fellowblogger na mtangazaji wa Amplifire Cloudsfm
Hongera mtu wangu wa nguvu
Miriam Odemba alihudhuria pia
mashabiki wake walijitokeza kwa wingi.......bye 8020fashion. |
No comments:
Post a Comment