Thursday, April 4, 2013

IFAHAMU TOP 10 YA NDINGA ZA KIFAHARI ZA MASTAA WA FOOTBALL ULAYA HAPA


David Beckham Bentley  - Continental Supersports
Claude Makalele  - Ferrari 360
Didier Drogba  - Mercedes SL65
Jermaine Pennant  - Aston Martin DBS
El Hadj Djouf  - Mercedes McLaren SLR
Mario Balotelli -  Bentley Continental GT
Samuel Eto'o -  Maybach Cruisero Coupe
Nani Lamborghini - Gallardo LP 550-2
Wayne Rooney - Lamborghini Gallardo

HAWA NDIO WASANII WATAKAOFANYA ONYESHO KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS UHURU KENYATTA

Hii ndiyo orodha ya wasanii ambao mpaka sasa ndio imeshafahamika kuwa watafanya onyesho katika sherehe za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kama Rais rasmi anayechukua mikoba ya kuiongoza Kenya.
Uhuru Kenyatta, rais mteule

Sherehe hizi zitafanyika Kasarani Stadium tarehe 9 Mwezi huu, na kwenye orodha wanatokea Kundi la Sauti Sol, Mwanamuziki wa miondoko ya injili Rufftone, pamoja na Sarakasi Dancers.... wakati huo huo ikiaminika kuwa, bado orodha hii itaongezeka zaidi.
Sauti Sol
Rufftone
Sarakasi Dancers
Bado tunaendelea kufuatilia kwa karibu issue hii hasa ikizingatiwa kuwa awali kulikuwa na taarifa za mpango wa kuwadondosha mastaa wakubwa kabisa katika game ya muziki ya kimataifa, na utafahamu hapa hapa whats going down.

kutoka kwa  sammisago

No comments:

Post a Comment