Thursday, March 28, 2013

Mbunge wa Chambani afariki dunia

Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis (CUF),amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili . Taratibu za kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika. 
Habari zaidi tutaendelea kuwaletea.

No comments:

Post a Comment