Monday, June 17, 2013

Kala Jeremiah atimiza ahadi yake kwa MAMA NGWEAR........

Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14



No comments:

Post a Comment