Bakiliiii |
Karama Kenyunko, Juma na sport Lady Renatha Msungu |
Camilaaa naye alikuwepooo |
nikiwakilishaaaa |
Juma akiwa na dada Jose na Da Mwana...chezea Juma weeee |
Sport Lady..... |
Hii picha sisemi simung'unyii namuogopa huyu kulia |
Dada Grace, Mayunga kakubaniaaaa... |
Da Zaiiiii akiwa na Bw Matangazo |
Kaka Benn |
Salehe huyooo |
Sanula |
Mchora katuni wetu huyoooo Abdul Kingooo |
wapiga picha wetu wakiwa bizeee, Mzee Fungo na Mweji Mwejii |
Makore katuliaaaaaa na swahiba wake Haonga |
Mkubwa mwenzangu |
Ramadhan Mbwaduke |
Mr Dann Mkate meeenn..... |
warembo wetu wenyeweeee....
Namkubali miaka mia mojaaa... |
bosi wangu Mchunguzi.....aminia bosi |
dada yangu wa ukweeee |
Mtumisi wa Mungu Mashaka Mgeta akiingia ofcn lazima awasalimie wenzake...safi sana mtumishii |
Mtumishi akiongea na Boniface Luhanga'Boss' |
Mchunguzi akimpa maelekezo Sanula |
kuukaribia mwaka mpya c mchezo lazima uuze meno kidogoooo |