Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza Risala kutoka kwa wasanii Wakongwe
waliofika Ikulu Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kumpongeza na kumpatia
ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu
kwa
kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa
wasanii ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati
Marijani Rajabu.
Rais Kikwete, akiagana na wasanii hao waliofika Ikulu leo kwa ajili ya kumpongeza.
Rais
Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wakongwe,
waliofika Ikulu Dar es Salaam, leo kumpongeza. Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment