Monday, December 31, 2012

MKUTANO MKUU WA TASWA KATIKA PICHA

Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com
Katibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akizungumza katika mkutano Mkuu. Picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiburudika katika hotel ya Kiromo View mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika katika hoteli hiyo iliyopo Bagamoyo.
Shafii Dauda akiwa na dada Asha Muhaji picha na www.burudan.blogspot.com
Mmiliki wa blog ya Bongo Staz, Bin Zubery (wa kwanza kulia mwenye njano) akizungumza na magwiji wa habari nchini William Chiwango na Salim Said Salim.
 Mjumbe wa mkutano huo, Rajabu Mhamila 'Super D' akijitambulisha kwa mgeni rasmi
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakisikiliza mada mbalimbali
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com

Mmoja wa waandishi wa habari Egbert Mkoko akitoa salamu kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa TASWA Picha na www.burudan.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete pamoja na mweka hazini wa TASWA Sultani Sekilo walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Mwanachama wa Taswa Saleh Ally akichangia mada wakati wa mkutano huo picha na www.burudan.blogspot.com
Katibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akitoa neno la shuklani kwa wajumbe walioudhuria mkutano wakati wa kufunga mkutano huo Picha na www.burudan.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete pamoja na mweka hazini wa TASWA Sultani Sekilo walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment