Kama ulikuwa haujui Juma Nature yupo Facebook baada ya kuambiwa sana
ajiunge na mtandao huo ili kuwa karibu na mashabiki wake.
Kupitia
ukurasa wake wa Facebook ambapo anatumia jina ‘Juma Natur Kibla’, msanii
huyo mkongwe amewashauri wasanii wapya kutoendekeza nyimbo za mapenzi
tu.
Nature ameandika, “Nawapa gwala madogo wote mlioingia kwenye game na
mnafanya vizuri hadi sasa sema inabid mcibezi kwenye upande wa mapenzi
peke yake coz kuna matatizo mengi sana yanayoizunguka nchi yetu na pia
asanteni mashabiki wote mnaousapoti mzikii huu wa kibongo nawatakia
kheri ya chrismac na mwaka mpya nawapenda wote.”
No comments:
Post a Comment