Pichani juu ni baadhi ya watoto 20 waliouwawa mapema Siku ya Ijumaa asubuhi
Dec 15, katika shule ya awali iliyoko Newtown kwenye jimbo la
Connecticut, nchini Marekani. Picha ya kwanza kubwa ndiye muuwaji wa watoto haoAdam Lanza:
Kutoka kushoto kwenda kulia ni Chase Kowalski, Ana Marquez-Greene, James Mattioli, Emilie Parker, Noah Pozner.
Kwa upande wa chini kutoka kushoto ni, Charlotte Bacon, Dylan Hockley, Olivia Engel, Jesse Lewis and Jessica Rekos. Watoto wengine waliouwawa ambao hawapo kwenye picha ni Daniel Barden, Josephine Gay, Madeleine Hsu, Catherine Hubbard, Chase Kowalski, Grace McDonnell, Jack Pinto, Caroline Previdi, Avielle Richman, Benjamin Wheeler na Allison N. Wyatt.

POLE ZA DHATI ZIENDE KWA WAZAZI WA WATOTO HAO, MUNGU AWAPE UVUMILIVU KATIKA HILI.
No comments:
Post a Comment