Monday, December 31, 2012

WAFANYAKAZI WA GUARDIAN LTD WAKIWA KAZINI SIKU YA MWISHO KWA MWAKA 2012

Bakiliiii
Karama Kenyunko, Juma na sport Lady Renatha Msungu
Camilaaa naye alikuwepooo
nikiwakilishaaaa
Juma akiwa na dada Jose na Da Mwana...chezea Juma weeee
Sport Lady.....
Hii picha sisemi simung'unyii namuogopa huyu kulia
Dada Grace, Mayunga kakubaniaaaa...
Da Zaiiiii akiwa na Bw Matangazo
Kaka Benn
Salehe huyooo
Sanula
Mchora katuni wetu huyoooo Abdul Kingooo
 

wapiga picha wetu wakiwa bizeee, Mzee Fungo na Mweji Mwejii

Makore katuliaaaaaa na swahiba wake Haonga

Mkubwa mwenzangu
Ramadhan Mbwaduke
 Mr Dann Mkate meeenn.....

 warembo wetu wenyeweeee....
Namkubali miaka mia mojaaa...
bosi wangu Mchunguzi.....aminia bosi
dada yangu wa ukweeee
Mtumisi wa Mungu Mashaka Mgeta akiingia ofcn lazima awasalimie wenzake...safi sana mtumishii

Mtumishi akiongea na Boniface Luhanga'Boss'
Mchunguzi akimpa maelekezo Sanula
kuukaribia mwaka mpya c mchezo lazima uuze meno kidogoooo
WAPENZI WANGU WOOOTE WA BLOG HIII  NAWATAKIENI HERI YA MWAKA MPYA NA NAOMBA MSHEREHEKEE KWA AMANI ILI KESHO TUKUTANE TENA.......

MKUTANO MKUU WA TASWA KATIKA PICHA

Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com
Katibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akizungumza katika mkutano Mkuu. Picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiburudika katika hotel ya Kiromo View mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika katika hoteli hiyo iliyopo Bagamoyo.
Shafii Dauda akiwa na dada Asha Muhaji picha na www.burudan.blogspot.com
Mmiliki wa blog ya Bongo Staz, Bin Zubery (wa kwanza kulia mwenye njano) akizungumza na magwiji wa habari nchini William Chiwango na Salim Said Salim.
 Mjumbe wa mkutano huo, Rajabu Mhamila 'Super D' akijitambulisha kwa mgeni rasmi
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakisikiliza mada mbalimbali
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com

Mmoja wa waandishi wa habari Egbert Mkoko akitoa salamu kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa TASWA Picha na www.burudan.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete pamoja na mweka hazini wa TASWA Sultani Sekilo walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Mwanachama wa Taswa Saleh Ally akichangia mada wakati wa mkutano huo picha na www.burudan.blogspot.com
Katibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akitoa neno la shuklani kwa wajumbe walioudhuria mkutano wakati wa kufunga mkutano huo Picha na www.burudan.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete pamoja na mweka hazini wa TASWA Sultani Sekilo walipokutana katika mkutano mkuu wa Taswa
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com


Monday, December 24, 2012

NATURE ATOA SOMO KWA WASANII WACHANGA

Kama ulikuwa haujui Juma Nature yupo Facebook baada ya kuambiwa sana ajiunge na mtandao huo ili kuwa karibu na mashabiki wake. 

Kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo anatumia jina ‘Juma Natur Kibla’, msanii huyo mkongwe amewashauri wasanii wapya kutoendekeza nyimbo za mapenzi tu.

Nature ameandika, “Nawapa gwala madogo wote mlioingia kwenye game na mnafanya vizuri hadi sasa sema inabid mcibezi kwenye upande wa mapenzi peke yake coz kuna matatizo mengi sana yanayoizunguka nchi yetu na pia asanteni mashabiki wote mnaousapoti mzikii huu wa kibongo nawatakia kheri ya chrismac na mwaka mpya nawapenda wote.”

"MZIKI WA BONGO FLEVA NI WA KIJINGA"....TID

Inaonekana bado mambo hayamwendei poa Top In Dar licha ya kuwa na hit ya ‘Kiuno’ hewani ambayo imeendelea kufanya poa katika vituo mbalimbali vye redio nchini.
Hiyo ni baada ya nyota huyo ambaye jina lake halisi ni Khalid, kuamua kutumia Facebook kutoa maoni yake jinsi muziki huo unavyoenda.
“This Bongo Fleva Music is so stupid yaani kiasi kwamba we don’t even sell it only adios get sponsorship to play it lakini sisi tuko majalala,” aliandika TID.
Ujumbe huo ulivuta hisia za Chidi Benz ambaye aliamua kuchangia kwa kuandika: "Uoga. Unazaa vijana wanataka ustaa so wanakubali chochote. Wakongwe wanataka maisha so wanahitaji kuongezwa chochote. Vitu vinagongana vitu havieleweki."  Chidi aliongeza,”Watangazaji na wadau wamekua mameneja. Haikatazwi. Ila kama wewe si line yake atakupa vipi na asimpe msanii wake. We utapita vipi? Ujinga unajizaa kwa style ya mapacha."  TID naye aliongeza, “now watangazaji sasa hivi wanatutukana and they can do anything to anyone wanaweza wakasema TID amecopy wimbo bila ya research yoyote yaani anaweza kufanya kila kitu hana limit.



kwa hisani ya http://freebongo.blogspot.com”