Adam Juma akiwa na baadhi ya wasanii wakiangalia mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliofika kuulaki mwili wa Ngwair |
Msemaji wa kamati Adam Juma akizungumza na waandishi wa habari.
Jeneza la Ngwea likibebwa tayari kupakiwa kwenye gari la kuelekea Hospitali ya Taifa, Muhimbili
|
Mwili ukipelekwa Muhimbili....
Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea. kwa hisani ya Mpekuzi Blog.
No comments:
Post a Comment