Monday, June 3, 2013

MWILI WA NGWAIR KUWASILI NCHINI KESHO, WAAGWA AFRIKA KUSINI

Wadau wa Sauzi wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki majuzi marehemu  Albert  Mangwear jioni hii huko  Johannesburg, Afrika Kusini.
MWILI WA MANGWAIR UMELALA HUMUUU....DAAAA...
Shughuli ya kuaga mwili ikiendelea muda huu nchini South Africa.....
Kinjeketile katikati akiwa na watanzania waishio nchini South Africa...
Msanii Bushoke kushoto, Moja ya watu walioko bega kwa bega
kusimamia mipango ya kuaga mwili
nchini South Africa....

No comments:

Post a Comment