Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wakiwa katika mkutano wa kutangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa ziara ya washindi wote wa tuzo za Kill jijini Dar es Salaam.
Ziara hiyo itaanzia mkoani Dodoma Jumamosi ijayo ya Juni 22 ikihusisha zaidi ya wasanii 24 walioshinda tuzo hizo.
Diamond akiwa kwenye gari yake |
Diamond akisalimiana na viongozi wa Mashujaa Band |
Wakifurahi jambo na Charlz Baba |
Diamond akichat...... |
Roma Mkatoliki akiwa na Diamond |
Diamond akichat na Mkurugenzi mtendaji wa Bia ya Kilimanjaro, Kavishe |
Diamond akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Tour ya washindi wa Tuzo za KTMA... |
Diamond akisisitiza jambo.... |
SALUUUTEEEEEEE.......!!! |
Joh Makini akizungumza na wandishi wa habari akifafanua juu ya uwepo wake kwenye Tour hiyo... |
Mzee wa Pombe Yangu Madee from Tip-Top Connection alikuwepo pia... |
Lady Jaydee akifurahi na Barnaba... |
Picha ya Pamoja ya washindi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award... |
Diamond akiwa na Barnaba Boy.... |
Chalz Baba on the line baada ya mkutano na waandishi wa habari huu ulikuwa wakati wa maakuli.... |
Professor Jay akichena na Diamond.... |
Msosi time.... |
Ommy Dimpoz akimmaliza mbavu Diamond |
Diamond akiwa na Benn Pol picha zote kwa hisani ya Thisisdiamond.. |
No comments:
Post a Comment