Monday, June 10, 2013

picha za mambo mbalimbali ktk mazishi ya Ngwea

Niki-show love na M2P ambaye muda wote alikuwa akilia hapa tulikuwa tunam'bembeleza kula
Mh Sugu akiwa na 'vinega wake'.... "Kuna swalii ....hakuna mzee"
Pawasa na Jaymoe eti wamefanana...? nipeni jibu
Kamanda wa kikosi cha mizinga na Jaymoe muda mfupi baada ya kutoka makaburini
Wema Abraham Sepetu katika viwanja vya Morogoro kila mtu alikuwa anataka kupiga naye picha safi dada
picha zaidi zitawajia soon...

No comments:

Post a Comment